Wanafunzi wa Bangladesh, Jumuiya Inasonga Kulinda Walio Wachache Kufuatia Kuanguka kwa Serikali ya Hasina – Masuala ya Ulimwenguni

Wanafunzi na vikundi vya vijana nchini Bangladesh hulinda nje ya mahekalu na makanisa ili kulinda wale dhidi ya uharibifu wakati wa machafuko baada ya kuondolewa kwa serikali ya Awami League. Credit: Rafiqul Islam/IPS na Rafiqul Islam (dhaka) Jumatano, Agosti 28, 2024 Inter Press Service DHAKA, Agosti 28 (IPS) – Mara tu baada ya kuanguka kwa…

Read More

Wazawa wasipobadilika wataendelea kulalamika -SMZ

Unguja. Wakati asilimia 60.6 ya shughuli za utalii Zanzibar zikielezwa kufanywa na wageni, Serikali imesema iwapo wazawa wasipobadilika wataendelea kulalamika nafasi hizo kuchukuliwa na watu kutoka nje ya nchi. Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), Zena Said amesema hayo leo Agosti 28, 2024 alipofungua semina ya makatibu wakuu wa SMZ na…

Read More

Maestro: Azam FC tatizo kila msimu ina timu mpya

Mchezaji wa zamani na mchambuzi wa soka, Ibrahim Masoud ‘Maestro’ amesema kutolewa kwa timu za Zanzibar za JKU na Uhamiaji kunatokana na ubora mdogo wa wachezaji, wakati Azam wao wakisumbuliwa na kukosa muunganiko. Maestro, aliyewahi kuichezea KMKM ya Zanzibar amesema timu za visiwani humo zina tatizo la ubora mdogo wa wachezaji tofauti na zamani ambako…

Read More

Watatu wafariki ajalini wakienda msibani

Bunda. Watu watatu wamefariki dunia na wengine 13 kujeruhiwa, baada ya gari walilokuwa wamepanda kupata ajali katika Kijiji cha Sanzate wilayani Bunda Mkoa wa Mara. Ajali hiyo imehusisha gari aina ya Hiace iliyokuwa imebeba waombolezaji wakielekea katika Kijiji cha Mugeta wilayani Bunda kwa ajili ya maziko. Akizungumza kwa njia ya simu, Diwani wa Nyamuswa Ibrahim…

Read More

CCM yasalimu amri ya polisi kuzuia mikutano Ngorongoro

Dar es Salaam. Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema chama hicho, kinakubaliana na uamuzi wa Jeshi la Polisi lililozuia mkutano uliopangwa kufanyika wilayani Ngorongoro, mkoani Arusha. Leo Jumatano Agosti 28, 2024 katika mitandao ya kijamii ilisambaa barua iliyoandikwa na Mkuu wa Polisi Wilaya ya Ngorongoro, L. Ncheyeki…

Read More