Kampeni ya Umoja wa Mataifa ya Chanjo ya Polio huko Gaza Itaendelea Ndani ya Kusitishwa kwa Kibinadamu – Masuala ya Ulimwenguni

Rik Peeperkorn, mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kwa Palestina, akitoa maelezo kwa wanahabari kuhusu kampeni ya chanjo ya polio huko Gaza. Credit: Naureen Hossain/IPS na Naureen Hossain (umoja wa mataifa) Alhamisi, Agosti 29, 2024 Inter Press Service UMOJA WA MATAIFA, Agosti 29 (IPS) – Kampeni ya mashirika mbalimbali ya Umoja wa Mataifa ya…

Read More

Wazazi, Walezi Waaswa Kuacha Tamaa za Mali Kuzuia Watoto wa Kike Wasijiunge na Vyuo – MWANAHARAKATI MZALENDO

Wazazi na walezi Wilayani Serengeti Mkoani Mara wameaswa kuacha kuingiza tamaa za mali na kuwazuia watoto wakike ili wasijiunge na vyuo vya ufundi kwaajili ya kuolewa kwani kufanya hivyo ni kukatili safari ya maisha yao katika elimu. Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa world Changer  Sulus Samweli katika mahafali ya Saba ya chuo hicho ambapo…

Read More

Benki ya Exim Yachangia Huduma za Afya Wilayani Kahama

Benki ya Exim Tanzania imetoa msaada wa vifaa tiba ya afya kama sehemu ya mchango wake katika jitihada za kuboresha huduma za afya katika wilaya ya Kahama, mkoani Shinyanga. Makabidhiano hayo ambayo yamefanyika mbele ya Mkuu wa wilaya ya Kahama, Mboni Mhita, yanalenga kusaidia kupunguza changamoto za huduma za afya katika wilaya hiyo katika tukio…

Read More