Mgogoro wa Kibinadamu Huku Mafuriko, Mvua Kubwa ya Muda Mrefu Yaathiri Chad – Masuala ya Ulimwenguni

Naibu Katibu Mkuu Amina Mohammed akutana na Fatime Boukar Kossei, Waziri wa Hatua za Kijamii, Mshikamano wa Kitaifa na Masuala ya Kibinadamu wa Jamhuri ya Chad kujadili mgogoro unaoendelea wa kibinadamu ambao umechochewa na mvua kubwa. Credit: Loey Felipe/UN Photo na Oritro Karim (umoja wa mataifa) Ijumaa, Agosti 30, 2024 Inter Press Service UMOJA WA…

Read More

Watumiaji wa mitandao wanavyokoswa koswa kutapeliwa

Dar es Salaam. Baadhi ya watumiaji wa mitandao ya kijamii ya X, Facebook na Instagram wamesimulia namna wanavyopitia kadhia ya majaribio ya kutapeliwa na watu wasiojulikana. Wakizungumza na Mwananchi kwa nyakati tofauti wamesema kupitia mitandao hiyo kuna wimbi la watu wanaowashawishi kuingia katika biashara mtandao ya pesa zijulikanazo kama Cryptocurrency pamoja na utapeli mwingine. Jamal…

Read More

Madiwani Musoma waunda kamati kuhesabu mitumbwi

Musoma. Baraza la madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Musoma Vijijini limeunda kamati ya watu wanne kwa ajili ya kufuatilia na kufanya tathmini ya idadi halisi ya mitumbwi katika mialo na visiwa vya halmashauri hiyo, baada aya kutilia shaka idadi iliyowasilishwa na Idara ya Uvuvi. Uamuzi huo ulifikiwa baada ya madiwani kudai kutokuwa na uhakika…

Read More

Sheria yaongezwa makali ulinzi wa mtoto dhidi ya ukatili

Dodoma. Bunge limepitisha muswada wa sheria zinazohusu ulinzi wa mtoto, ikiwamo adhabu ya kulipa fidia kwa waathirika, kuanzisha mabaraza ya watoto na mahakama zao kila wilaya. Muswada huo unaosubiri kutiwa saini na Rais Samia Suluhu Hassan kuwa sheria kamili, pia unatoa mamlaka kwa mahakama kufuta amri ya kuasili mtoto baada ya kupokea maombi ya mzazi,…

Read More

UOGA WA WAANDISHI KUSHINDWA KUFANYIKA HABARI ZA UCHUNGUZI NCHINI

AMIDI Shule kuu ya uandishi wa habari na mawasiliano kwa umma, Dkt. Mona Mwakalinga amesema sababu inayopelekea kushindwa kufanyika habari za uchunguzi nchini ni uoga ambao umewakumba waandishi walio wengi. Amesema uandishi wa uchunguzi ni muhimu kwani unawawajibisha walioko kwenye mamlaka kwani wakienda kinyume habari za uchunguzi zitawamulika, Ameyasema hayo leo Agosti 30, 2024 katika…

Read More

Sita watoa ushahidi kesi ya ‘waliotumwa na afande’

Dodoma. Mashahidi sita wa upande wa Jamhuri wameshatoa ushahidi katika kesi ya ubakaji na kumwingilia kinyume cha maumbile binti, mkazi wa Yombo Dovya, Dar es Salaam. Kesi hiyo ya jinai namba 23476 ya mwaka 2024 imeendelea leo Agosti 30, 2024, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma kwa kusikiliza mashahidi watatu. Washtakiwa katika kesi hiyo ni…

Read More