Kesi ya kujeruhi na kutioa lugha chafu yapigwa kalenda

Na Imani Nathaniel, Mtanzania Digital Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam imeahirisha kesi ya tuhuma ya kujeruhi na kutoa lugha chafu inayomkabili wanandoa Bharat Nathwan (57), Sangita Bharat (54) hadi Septemba 10, 2024 kwa sababu ya kutokuwepo kwa wakili wa washtakiwa kwa taarifa kwamba yupo Mahakama Kuu Divisheni ya Ardhi. Wanandoa hao ambao…

Read More

Ujerumani yawatimua wahalifu wa Afghanistan – DW – 30.08.2024

Msemaji wa serikali ya Ujerumani Steffen Hebestreit amewataja raia hao 28 wa Afghanistan kama wahalifu waliopatikana na hatia lakini hakuelezea wazi makosa yao. Katika taarifa, Hebestreit amesema maslahi ya usalama wa Ujerumani ni muhimu zaidi kuliko madai ya ulinzi wa wahalifu na watu wanaohatarisha usalama wa kitaifa. Scholz awatahadharisha wahalifu Akizungumza wakati wa hafla ya…

Read More

SERIKALI KUENDELEA KUBORESHA SHERIA ZA ULINZI WA WATOTO

Serikali imesema imejidhatiti kuendelea kufanyia maboresho sheria za ulinzi wa Watoto ili ziweze kuendana na wakati huu wa sasa kwa maslahi mapana ya kuwalinda Watoto. Hayo yamesemwa leo Agosti 30, 2024 na Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb), alipokuwa akichangia Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria mbalimbali za Ulinzi…

Read More

Zahera, Namungo lolote linaweza kutokea

NAMUNGO imepoteza mechi ya pili mfululizo katika Ligi Kuu Bara msimu huu baada ya kufungwa mabao 2-0 na Fountain Gate na ghafla Mtendaji Mkuu, Omar Kaya akatangaza kuachia ngazi na uongozi wa juu kuridhia. Lakini, kwa sasa lolote linaweza kutokea kwa kocha mkuu, Mwinyi Zahera. Namungo ilikumbana na kipigo hicho juzi usiku kwenye Uwanja wa…

Read More

LHRC, THBUB zataka hatua matukio ya utekaji, mauaji nchini

Dar/Dodoma. Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kimetoa wito kwa Serikali kuona haja ya kuridhia mkataba wa kimataifa wa ulinzi kwa watu wote dhidi ya kupotea na kutekwa wa mwaka 1994, ili kukabiliana na ongezeko la matukio ya kupotea na kutekwa watu yanayoripotiwa nchini. Shirika hilo limesema Tanzania haijaridhia mkataba huo ili kuufanya…

Read More

Matumaini kupata maji safi yarejea Mbokomu

Moshi. Wakazi zaidi ya 15,800 wa Kata ya Mbokomu, Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro, ambao walikuwa wakikabiliwa na changamoto ya maji safi baada ya miundombinu ya huduma hiyo kusombwa na mafuriko Mei 2024, wanatarajia kuondokana na adha hiyo kuanzia Jumatatu, Septemba 2, 2024. Kata hiyo, yenye vijiji vitatu vya Korini Kusini, Korini Kati, na Korini…

Read More

Kamishna Wakulyamba Apongeza Jitihada za Uimarishaji wa Hifadhi za uhifadhi misitu na utalii Wilayani Tanga.

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Kamishna Benedict Michael Wakulyamba, amepongeza juhudi za Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) katika kuimarisha usimamizi wa hifadhi za mikoko na utalii wilayani Tanga. Katika ziara yake hiyo, Kamishna Wakulyamba alitembelea ofisi ya TFS Wilaya ya Tanga na kukutana na Mhifadhi wa Wilaya pamoja na…

Read More

Badru: Kachwele ni Samatta mtupu

KOCHA mpya wa Songea United, Mohammed Badru amempigia chapuo kijana aliyemnoa katika timu za vijana pale Azam, Cyprian Kachwele ambaye kwa sasa anaichezea Vancouver Whitecaps ya Canada kuwa anaweza kuvaa viatu vya nyota wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta katika kikosi cha Taifa Stars. Kachwele ni miongoni mwa washambuliaji wanne wa kati akiwemo Wazir Junior…

Read More