
JKT Stars yaifunga DB Lioness
TIMU ya mpira wa kikapu ya JKT Stars iliishinda timu ya DB Lioness kwa pointi 64-52 katika ligi ya kikapu mkoa wa Dar es Salaam iliyofanyika kwenye Uwanja wa Donbosco Oysterbay. Timu ya JKT Stars ikiongozwa na Jesca Ngisaise, ilianza mchezo huo kwa kasi hali iliyofanya iongoze katika robo ya kwanza kwa pointi 24-11. Robo…