
Kamala kutoa hotuba ya aina yake kukubali uteuzi – DW – 22.08.2024
Kamala Harris ataufunga mkutano mkuu wa Democrat kwa kukubali uteuzi huu wa kihistoria wa kuwa mwanamke wa kwanza mwenye asili ya Afrika na Asia kuwania nafasi ya juu kabisa ya uongozi nchini Marekani, na kwa wengi kwenye chama chake wanangojea kuona ni jinsi gani atatumia haiba yake ya kuchangamsha, kuwashawishi mamilioni ya wapigakura ambao bado…