DHL kufikia utoaji sifuri wa kaboni ifikapo 2050

   DHL Express, ambayo ndiyo kampuni kubwa zaidi ya usafirishaji duniani, imeelezea kujitolea kwake kufikia utoaji wa kaboni sifuri ifikapo mwaka 2050 katika jitihada zake za kufanya kazi katika mazingira yaliyo safi zaidi. Akizungumza wakati wa kifungua kinywa kwenye meza ya mazungumzo ya maofisa watendaji wakuu yaliyoandaliwa na DHL, Mkurugenzi wa Kanda wa Nchi za…

Read More

Kombo wa Chadema kuendelea kusota mahabusu siku 14

Tanga. Uamuzi wa hatima ya dhamana ya mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoani Tanga, Kombo Mbwana, umepigwa kalenda mpaka Septemba 6, 2024. Uamuzi huo ilitarajiwa kutolewa leo Alhamisi, Agosti 22, 2024 na Mahakama ya Wilaya ya Tanga, kuhusiana na maombi ya Jeshi la Polisi kuomba mshtakiwa huyo asipewe dhamana kwa sababu za…

Read More

AKILI ZA KIJIWENI: Azam kwa APR hatutawaelewa

AZAM FC imeanza vyema Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kushinda mechi ya awali ya raundi ya kwanza nyumbani dhidi ya APR ya Rwanda kwa bao 1-0. Kwa mashindano yanayochezwa kwa mtindo wa mtoano, huu ni ushindi muhimu sana kwa Azam, kwani unaiweka katika nafasi nzuri ya kusonga mbele tofauti na watu wengi wanavyoamini. Ujue kuna…

Read More

Afariki dunia akijaribu kuuzima moto shambani

Morogoro. Mratibu wa Elimu, Kata ya Tomondo aliyetambuliwa kwa jina la Mwenge Mnune, amefariki dunia baada ya kuungua kwa moto shambani kwake , wakati akijaribu kuuzima moto huo alioukuta ukiteketeza mazao kwenye shamba hilo. Tukio hilo linadaiwa kutokea Agosti 21, 2024 katika kitongoji cha Banzayage kilichopo katika kata ya Kiroka, mkoani Morogoro ambapo Mnuna na…

Read More

Kramo amfuata Onana Libya | Mwanaspoti

Aliyekuwa winga wa Simba, Aubin Kramo amejiunga na klabu ya Olimpique Zouia inayoshiriki Ligi Kuu Libya kwa mkataba wa mwaka mmoja, Mwanaspoti limethibitisha. Usajili huo wa Kramo, umefanya kuwa mchezaji wa pili kutoka Simba kujiunga na klabu za Ligi Kuu Libya baada ya awali mshambuliaji Mcameroon Willy Onana kujiunga na Al Hilal SC ya nchini…

Read More