
Hospitali kuu ya India yasitisha mgomo lakini maandamano yamepamba moto
Madaktari katika hospitali kuu ya serikali ya India walimaliza mgomo wa siku 11 Alhamisi dhidi ya ubakaji na mauaji ya daktari, lakini maandamano ya hasira yaliendelea huko Kolkata. Kupatikana kwa mwili wa daktari huyo mwenye umri wa miaka 31 ukiwa na damu katika hospitali ya serikali katika mji wa mashariki wa Kolkata mnamo Agosti 9…