
SIASA ZA KIJIOGRAFIA NA MSUKUMO WA MAHUSIANO YA KIMATAIFA – MWANAHARAKATI MZALENDO
Waziri Mkuu wa India, Narendra Modi, anatarajiwa kufanya ziara muhimu nchini Ukraine siku ya Ijumaa, ikiwa ni wiki chache tu baada ya kukutana na Rais wa Urusi, Vladimir Putin, jijini Moscow. Ziara hii imeibua mjadala mkubwa katika duru za kimataifa, hasa ikizingatiwa kwamba miji ya Kyiv na baadhi ya miji ya Magharibi ilireact kwa ukali…