
STELLA LUDMAN MALITI ASHINDA MEDALI YA SHABA KATIKA SHINDANO LA HISABABTI LA AFRIKA, PAMO 2024 – MWANAHARAKATI MZALENDO
Stella Ludman Maliti, mwanafunzi wa shule ya sekondari ya wasichana Marian, ameipatia Tanzania sifa kubwa baada ya kushinda medali ya shaba katika Shindano la Hisabati la Afrika, maarufu kama Pan African Mathematics Olympiad (PAMO) 2024. Shindano hilo linalenga kuwaunganisha wanafunzi kutoka nchi mbalimbali za Afrika kwa ajili ya kuonyesha umahiri wao katika somo la hisabati….