Kasino ni dili! Expanse inalipa mamilioni kibao

  Unawaza sehemu ya kupata pesa kirahisi? Cheza kasino ya mtandaoni kukwapua mtonyo wako. Suala ni moja tu shindano jipya la Expanse linalipa Mamilioni. Jisajili hapa uwe Milionea Mpya Mjini. Katika Promosheni hii unaweza kujishindia hadi Tsh 4,750,000/= ikiwemo bonasi za kasino kibao. Kuna michezo mingi ya kasino na Sloti ambayo inaweza kukufanya kuwa Milionea….

Read More

CHEZA AVIATOR NA SUPER HELI KASINO USHINDE MUZIKI MNENE

WIKI iliyopita walipatikana washindi wa promosheni ya kibabe, na wakaondoka na zawadi zao katika awamu ya kwanza, na sasa zawadi bado zipo nyingi sana Meridianbet awamu ya pili inaendelea kuchanja mbunga na wengi wanajishindia zawadi zao. Ili ushinde unatakiwa kucheza michezo pendwa ya kasino Aviator na Super HELI kwa dau dogo la kuanzia Tsh 100…

Read More

Urasimu ulivyomnyima fursa Njohole Arsenal

Dar es Salaam. Nyota wa zamani wa Simba na timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Nicodemus Njohole amefichua kuwa angeweza kuandika historia ya kuwa Mtanzania wa kwanza kucheza Ligi Kuu ya England (EPL) ikiwa asingekutana na urasimu hapa nchini. Njohole anasema alifuzu majaribio katika timu za Arsenal na Bournemouth ambazo zote zilitaka kumsajili lakini…

Read More

Mukwala afichua siri Simba | Mwanaspoti

MSHAMBULIAJI mpya wa Simba, Mganda Steven Mukwala hajawapa furaha Wanamsimbazi, lakini mwenyewe amekiri sasa anauona ukubwa na thamani ya kikosi hicho baada ya kuanza kukitumikia tangu ajiunge msimu huu akitokea Asante Kotoko ya Ghana. Mukwala alisema tangu atue nchini amekutana na presha kubwa kuanzia katika benchi la ufundi hadi kwa mashabiki, jambo ambalo ni tofauti…

Read More

Mbivu, mbichi dhamana ya Kombo wa Chadema leo

Tanga. Mahakama ya Wilaya ya Tanga leo Alhamisi, Agosti 22, 2024 inatarajiwa kutoa uamuzi wa zuio la dhamana ya mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoani Tanga, Kombo Mbwana. Kombo ambaye awali aliripotiwa kupotea kabla ya Jeshi la Polisi Tanga, kutangaza kumshikilia siku 29 baadaye, anakabiliwa na kesi ya jinai mahakamani hapo akidaiwa…

Read More

Ukuta Simba na deni la msimu uliopita

Dar es Salaam. Wakati wakianza mechi ya kwanza ya ligi kuu msimu huu bila kuruhusu bao dhidi ya Tabora United, mabeki na makipa wa Simba wana kibarua cha kufuta takwimu mbaya za msimu uliopita za safu yao ya ulinzi. Takwimu hizo ni za kuruhusu nyavu zao kutikiswa mara nyingi zaidi kwa msimu mmoja ukiwa ndio…

Read More