
DKT. MPANGO AAGIZA UKARABATI BARABARA YA NTUNDWA – HURUI – MWANAHARAKATI MZALENDO
Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango ameuagiza Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA) kufanya ukarabati wa Barabara ya Ntundwa – Hurui ya wilayani Kondoa mkoani Dodoma ili kuwarahisishia wananchi shughuli za kiuchumi ikiwemo usafirishaji mazao. Makamu wa Rais ametoa agizo hilo mara baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa…