Baraza la Usalama lakutana Gaza huku WHO ikitangaza kusitisha kwa kampeni ya chanjo ya kuokoa maisha – Masuala ya Ulimwenguni

© UNRWA Wananchi wengi wa Gaza wanaishi katika makazi ya muda kutokana na mzozo huo. Alhamisi, Agosti 29, 2024 Habari za Umoja wa Mataifa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeanza kukutana katika kikao cha dharura mjini New York kuhusu kuendelea mgogoro wa Gaza na Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu. Hapo awali, Shirika…

Read More

Raslimali fedha, woga vyatajwa kukosekana habari za uchunguzi

Dar es Salaam. Wanazuoni wa uandishi wa habari wamejadili changamoto zinazokwamisha utekelezaji wa uandishi wa habari za uchunguzi, wakitaja mambo mawili kama kikwazo. Wamesema uandishi wa aina hii unakabiliwa na woga na ukosefu wa fedha, hali inayosababisha waandishi wengi kuacha kuandika habari zenye manufaa kwa jamii na badala yake kufuata masilahi binafsi. Wamebainisha hayo katika…

Read More

Benki ya NMB Yaingia Makubaliano ya Ushirikiano wa Kimkakati na K-FINCO ya Korea Kusini

Benki ya NMB leo imesaini Mkataba wa Makubaliano (MoU) ya kushirikiana na Shirika la Korea Kusini linalojihusisha na kufadhili miradi katika sekta ya ujenzi la Korea Finance for Construction (K-FINCO). Lengo la makubaliano hayo ni kusaidia kuwawezesha wakandarasi wa Korea Kusini kushiriki kikamilifu katika miradi ya ujenzi nchini Tanzania ambapo NMB itaiwakilisha K-FINCO kwa kutoa…

Read More

Kipa Mnigeria akoleza moto City

PAMOJA na ukimya uliotawala kwa Mbeya City, lakini benchi la ufundi limesema kimya hicho ni cha kishindo, huku likitambia kambi waliyopo ya Mwakaleli, iliyopo mji mdogo wa Tukuyu mkoani Mbeya, huku Kipa Mnigeria, Olonade Nathaniel akishtua. Mbeya City iliyoshuka daraja misimu miwili nyuma, imepania kurejea tena Ligi Kuu ambapo inaendelea na mazoezi kwa ajili ya…

Read More

Matiko apaza sauti malipo ya makandarasi

Dodoma. Mbunge wa Viti Maalumu, Esther Matiko ameomba mwongozo wa Spika akitaka makandarasi wa ndani kulipwa kwa wakati au kulipwa riba pale malipo yao yanapochelewa kama ilivyo kwa wa kigeni. Matiko akitumia kanuni ya 76 aliomba mwongozo wa Spika kuhusu utata wa majibu ya Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba alipojibu swali la nyongeza la…

Read More

Magoma, Yanga walivyochuana mahakamani Dar

Hatma ya uhalali wa rufaa ya klabu ya Yanga, sasa itajulikana Septemba 9, mwaka huu wakati Mahakama Kuu, Masjala ya Dar es Salaam, itakapotoa uamuzi wa pingamizi dhidi ya rufaa hiyo. Rufaa hiyo imefunguliwa na Juma Ally Magoma na mwenzake Geoffrey Mwaipopo, wakipinga uamuzi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoa wa Dar es Salaam, Kisutu…

Read More

SERIKALI KUTATUA CHANGAMOTO ZA WAZABUNI NA WAKANDARASI

 Na. Chedaiwe Msuya, WF, Dodoma Serikali imeeleza  kuwa katika bajeti ya mwaka 2023/24, ilitenga jumla ya shilingi bilioni 600 kwa ajili ya kulipa madeni ya wazabuni, wakandarasi, watumishi na watoa huduma mbalimbali ili kupunguza mzigo wa madeni na kuimarisha utendaji wa miradi ya Serikali. Hayo yameelezwa bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha, Mhe….

Read More