
MKUU WA WILAYA YA ILEJE MKOANI SONGWE ,FARIDA MGOMI AMEWASILISHA TAALIFA YA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM
Mkuu wa wilaya ya Ileje mkoani Songwe Mhe.Farida Mgomi amewasilisha taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya CCM katika kikao cha Halmashauri kuu ya CCM ya Wilaya ya Ileje. Taarifa hiyo imepokelewa na wajumbe Hapo ni taarifa ya fedha za serikali zilizopokelewa kutekekeza miradi, lkn pia makusanyo ya mapato ya ndani na mapato kutoka…