
MADIWANI KIBAHA MJI WAFANYA KWELI WAPIGA HODI KWA RAIS DKT. SAMIA NA WAZIRI AWESO
NA VICTOR MASANGU,KIBAHA Baraza la madiwani katika Halmashauri ya mji Kibaha limemuomba Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kuwapatia baadhi ya eneo la ardhi ambayo inamilikiwa na shirika la elimu Kibaha ili waweze kuiendeleza katika shughuli mbali mbali za kiuchumi na kimaendeleo. Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya mji Kibaha Mussa Ndomba wakati wa kikao cha…