Mauzo ya gesi asilia yaongezeka, TPDC ikitaja mikakati zaidi

Dar es Salaam. Wakati ripoti ya Takwimu za Msingi Tanzania inayotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) ikionyesha ongezeko la mauzo ya gesi asilia kwa asilimia 75, Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limetaja mikakati ya kuongeza matumizi. Ripoti hiyo ya mwaka 2023 iliyotolewa Julai 2024 inaonyesha kuwa  mauzo yameongezeka katika vitalu vya…

Read More

WIZARA YA ARDHI KURASIMISHA MITAA 13 KONDOA MJI

Na Munir Shemweta, WANMM KONDOA Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi inatarajia kutekeleza mradi wa urasimishaji makazi holela kwenye mitaa 13 ya Mji wa Kondoa mkoa wa Dodoma. Hayo yamebainishwa tarehe 21 Agosti 2024 na Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geophrey Pinda wakati wa ziara ya Makamu wa…

Read More

Vijiwe vya Bodaboda kuonyesha kazi Dar, Dom

VIJIWE vya Bodaboda vya jijini Dar es Salaam na Dodoma vinatarajiwa kuchuana katika soka ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Usalama Barabarani nchini. Kamanda wa Kikosi cha Usalama wa Barabarani, Ramadhan Ng’azi ameyasema hayo leo Jumatano, Agosti 21, 2024. Kamanda huyo alikuwa akizungumzia maadhimisho ya Wiki ya Usalama wa barabarani yanaokwenda sambamba na…

Read More

Israel yamuua afisa mwandamizi wa Fatah – DW – 21.08.2024

Mwanaharakati huyo mkuu wa kitengo cha kijeshi wa Fatah ni Khalil Maqdah ambaye ameuawa katika shambulio karibu na mji wa Sidon, kusini mwa Lebanon. Fatah, inayoongozwa na rais wa Mamlaka ya Palestina Mahmoud Abbas, ni vuguvugu la Kipalestina lenye makao yake katika  Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu na Israel. Jeshi la Israel limesema lilikuwa likimlenga…

Read More

‘Viongozi wa dini epukeni kauli za uchochezi’

Dar es Salaam. Viongozi wa dini wameaswa kujiepusha na kauli za uchochezi na uvunjifu wa amani unaoweza kusababisha nchi kuingia katika machafuko, badala yake kuhubiri amani na upendo. Hayo yameelezwa leo Agosti 21, 2024 na Mratibu Mkuu wa Taasisi ya Sambaza Upendo, Amani na Umoja, Banzai Suleiman baada ya kutoa misaada kwa wajane na watu…

Read More

Fei Toto apiga hesabu kali Kigali

KIUNGO mshambuliaji wa zamani wa Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’ amefunguka mipango ya kikosi chao katika mchezo ujao dhidi ya APR ya Rwanda utakaopigwa Jumamosi. Fei katika mchezo wa kwanza uliochezwa kwenye Uwanja wa Azam Complex Chamazi alisababisha penalti iliyozaa bao pekee katika mechi hiyo baada ya kufanyiwa madhambi na beki wa APR. Tangu atue…

Read More