SHERIA KUTUNGWA PASIPO KUZINGATIA TAFITI CHANZO CHA KUFANYIWA MAREKEBISHO MARA KWA MARA- DKT. RWEZIMULA

  NAIBU  Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Dkt. Franklin Rwezimula,akizungumza wakati akifungua  Warsha Juu ya Umuhimu wa Utafiti katika Maboresho ya Sheria Tanzania kwa niaba ya Waziri wa Katiba na Sheria Prof.Palamagamba Kabudi iliyofanyika leo Agosti 21,2024 jijini Dodoma. MWENYEKITI wa Tume ya kurekebisha Sheria Tanzania Jaji wa Mahakama ya Rufani,Winifrida Korosso,akizungumza wakati…

Read More

Mkakati wawekwa kudhibiti sumu ya viuatilifu

Dar es Salaam. Wakati asilimia 44 ya wakulima milioni 860 duniani kote wakiathiriwa na sumu inayohusiana na viuatilifu, wadau wameanzisha mikakati mipya ya kukabiliana na hatari hizo. Takwimu za kutisha za mwaka 2020, zilizoripotiwa na Kituo cha Taifa cha Habari za Bioteknolojia (NCBI) nchini Marekani, zilionyesha utumiaji duni wa zana za kujikinga kama sababu kuu…

Read More

WAKILI MKUU WA SERIKALI AKABIDHIWA OFISI

Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (kushoto) akizungumza na aliyekuwa Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Boniphace Luhende muda mfupi kabla ya kukabidhiwa Ofisi kwenye hafla iliyofanyika kwenye Ofisi hiyo Jijini Dar es Salaam. Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyesimama katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi….

Read More

Jubilee yaipiga tafu Don Bosco

KATIKA kuendeleza vipaji vya wachezaji wa mchezo wa kikapu nchini, Bima ya Maisha ya Jubilee imeingia katika udhamini wa timu ya Don Bosco Oysterbay yenye wachezaji 60 wa rika mbalimbali kupitia mchezo wa mpira wa kikapu. Akizungumza leo wakati wa kukabidhi vifaa, Mkurugenzi Mkuu wa Bima ya Maisha ya Jubilee, Helena Mzena, amesema kauli mbiu ya…

Read More

Kwanini Qatar ni mpatanishi bora kuliko Mataifa mengine? – DW – 21.08.2024

Maafisa kutoka Urusi na Ukraine hawajakutana angu walipofanya hivyo muda mfupi baada ya vita kati yao kuanza mwaka 2022, wakati wanajeshi wa Moscow walipoivamia Kiev. Lakini hivi karibuni taarifa zilienea kwamba kuna uwezekano wa kufanyika mazungumzo, ya kuwapatanisha majirani hao wawili yatakayosimamiwa na Qatar. Kwa bahati mbaya mazungumzo hayo yalifutwa kufuatia hatua ya Ukraine kujibu…

Read More

Changamoto, sababu uchache wahandisi wanawake zatajwa

Dar es Salaam. Wazazi, dhana ya ugumu masomo ya sayansi, vimetajwa kusababisha idadi ya wahandisi wanawake kuwa ndogo nchini. Ambapo idadi ya wahandisi wanawake Tanzania Bara  hadi mwaka 2024 wanafikia 5,006 kati ya zaidi ya 38,000 wa kada zote. Mbali na hizo  uwajibikaji, ajira, kutoaminiwa na waajiri, waajiri kuwa na imani haba kwa wahandisi wanawake,…

Read More