
UJENZI WA KITUO CHA KUSHINDILIA NA KUJAZA GESI ASILIA KWENYE MAGARI WAFIKIA ASILIMIA 33.5
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV UJENZI wa Kituo cha Kushindilia na Kujaza gesi asilia (CNG) kwenye magari uliopo Ubungo Jijini Dar es Salaam unatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwaka huu, na hadi sasa ujenzi umefikia asilimia 33.5. Katika ujenzi huo, uundaji wa mitambo itakayokuja kusimikwa unaendelea kufanyika nchini China na tayari umefikia asilimia 76. Akizungumza leo…