
Aliyedai kuvunjwa mguu na kigogo wa Polisi Arusha, adai kutishiwa maisha
Arusha. Sakata la kijana Peter Charles (21) Mkazi wa kata ya Daraja Mbili jijini Arusha aliyedai kupigwa hadi kuvunjwa mguu na askari wa Jeshi la Polisi, amedai kupokea vitisho vya kukatishiwa uhai wake. Peter alidai amevunjwa mguu ndani ya chumba cha mahojiano kilichopo ndani ya kituo cha kati cha Polisi Jijini Arusha Juni 6, 2024…