Meli yazama ikiwa na abiria 300, miili 20 yaopolewa

ZAIDI ya watu 300 wanahofiwa kufa maji katika ajali ya meli iliyotokea usiku wa Jumamosi kuamkia Jumapili tarehe 18 Agosti kwenye Mto Lukenie. Ajali hiyo imetoke katika eneo la Kutu, mkoa wa Mai-Ndombe, kusini-magharibi mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Meli hiyo iliyokuwa ikielekea Nioki ikiwa imebeba zaidi watu…

Read More

MARACANAZO: Simulizi nzito ya ubabe wa Uruguay kwa Brazil

MFANYABIASHARA wa mji wa Rio de Janeiro, Brazil alitakiwa na serikali kutafuta jina jipya la duka lake na kuondoa lile la ‘Februari 24’ ili kunusuru maisha yake. Hii ni kwa sababu Februari 11, mwaka huu Argentina waliwafunga Brazil na kuwanyima fursa ya kucheza fainali za kandanda za Olimpiki zilizofannyika Paris, Ufaransa. Brazil iliyotarajia kutetea ubingwa…

Read More

Suala la Kitumbo, TFF linafikirisha

INAWEZA kuonekana kuwa Shirikisho la Kimataifa la Soka (Fifa) halitaki masuala yake yapelekwe mahakama za kiraia kwa ajili ya kufanyiwa uamuzi, lakini si kila jambo haliendi mahakamani. Kuna masuala ambayo Fifa yenyewe inajiona haina mamlaka ya kuyashughulikia, hivyo kuyaacha yafanywe na vyombo vya kiserikali. Masuala kama ya kughushi, haki ya kufanya kazi kama ile iliyomsukuma…

Read More

SMZ kuweka mkazo uzalishaji mwani -Rais Mwinyi

Na Mwandishi Wetu Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inakusudia kuweka mkazo zaidi kwenye sekta ya mwani ili kuzalisha bidhaa zenye ubora na kuzipatia soko la uhakika. Dk. Mwinyi ameyasema hayo leo 21 Agosti 2024, Ikulu Zanzibar alipozungumza na Balozi wa Umoja…

Read More

Waziri Mkuu awataka wakuu wa taasisi kuwapa posho madereva

Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka wakuu wa taasisi wahakikishe kuwa madereva wao wanapatiwa stahiki zao ikiwemo posho za safari, sare za kazi na mafunzo wawapo kazini. “Wakuu wa taasisi hakikisheni madereva wanapata stahiki zao kikamilifu kwa kuzingatia sheria. Ni muhimu posho ya kujikimu nje ya vituo za safari zilipwe kulingana na…

Read More

DRC ipo katika dharura ya kiafya – DW – 21.08.2024

Wakati virusi vinaenea kwa kasi katika kambi za wakimbizi zilizofurika karibu na Goma, tatizo jingine lenye wasiwasi mkubwa linajitokeza ni kosefu wa udhibiti wa kiafya mipakani. Katika barabara kuu kati ya DRC na Rwanda, madereva wa malori na wasafiri wanaendelea kuvuka bila hatua zozote za kuzuia, na hivyo kuongeza hatari ya kuenea kwa virusi vya…

Read More

Benki ya I&M Tanzania Yaadhimisha Kumbukizi ya Miaka 50 ya Kuanzishwa kwake, Wazindua Ofisi Mpya za Makao Makuu

  BENKI ya I&M Tanzania katika kuadhimisha miaka 50 tangu kuanzishwa kwake nchini Kenya. Imezindua ofisi ya makao makuu yake mapya jijini Dar es Salaam katika Barabara ya Haile Selassie, Masaki. Katika kumbukizi hiyo iliambatana na hafla fupi iliyowaleta pamoja watu mbalimbali ikiwemo wateja wa Benki hiyo na kuangazia chimbuko la benki hiyo, ilipotoka, inakoelekea…

Read More