RAIS WA ZANZIBAR AZUNGUMZA NA BALOZI WA UMOJA WA ULAYA NCHINI TANZANIA MHE. CHRISTINE GRAU IKULU ZANZIBAR

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Balozi wa Umoja wa Ulaya Nchini Tanzania Mhe.Christine Grau, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 21-8-2024. RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni…

Read More

JIWE LA SIKU: Dube tumaini jipya la Yanga!

BAADA ya Yanga kusota kwa msimu mmoja kwenye eneo la ushambuliaji ni kama tumaini jipya limerudi ndani ya viunga vya Jangwani. Msimu wa 2022/23 Yanga ilimuuza mshambuliaji wake raia wa DR Congo, Fiston Mayele kwenda Pyramids FC ya Misri ambako amemaliza msimu na mabao 17 na asisti tano, akishika nafasi ya pili nyuma ya mfungaji…

Read More

COME BACK: Haijaisha hadi iishe

FLORIDA, MAREKANI: HAIJAISHA hadi iishe. Kama ulijua wamestaafu masumbwi na kukaa tu, basi bado jaijaisha na mwaka huu utashuhudia mapambano mawili makubwa na yanayotajwa yatavutia hisia za mashabiki wengi na wadau wa mchezo huo duniani. Ni floyd Mayweather na Mike Tyson. Wawili hawa kwa nyakati tofauti walitangaza kustaafu masumbwi na kurejea tena kwa mara nyingine…

Read More

Matampi, Lawi waitesa coastal | Mwanaspoti

KUNA uhusiano mkubwa wa kuanza kufanya vibaya msimu huu kwa safu ya ulinzi ya Coastal Union na kukosekana uwanjani kwa kipa tegemeo, Ley Matampi na beki wa kati, Lameck Lawi. Tofauti na msimu uliopita ambao Coastal Union ilikuwa miongoni mwa timu zenye safu imara za ulinzi, mambo yameonekana kwenda kinyume msimu huu ambapo imeonyesha udhaifu…

Read More

Iran yafunga kituo cha lugha cha ubalozi wa Ujerumani

Tehran. Iran imefunga kituo cha lugha kinachomilikiwa na ubalozi wa Ujerumani, huku sababu ikitajwa kuwa ni kufungwa kwa vituo vya dini ya Kiislamu nchini Ujerumani. Mahakama ya Iran imefunga ofisi mbili za taasisi hiyo, ikizitaja kama vituo haramu vyenye uhusiano na Serikali ya Ujerumani, ambayo imekiuka sheria za Iran na kufanya vitendo vingi haramu. Tovuti…

Read More

Kituo cha afya Lupalilo chapokea kitanda kupunguza changamoto ya upungufu wa vifaa tiba

Katika kupunguza changamoto ya vifaa tiba kwenye majengo mapya ya kituo cha afya Lupalilo kilichopo wilaya ya Makete mkoani Njombe,mganga mkuu wa halmashauri hiyo amepokea kitanda chenye thamani ya takribani Milioni 2.5 kwa ajili ya wagonjwa kituoni hapo. Akizungumza baada ya kupokea kitanda hicho mbele ya wananchi wa Lupalilo kilichotolewa na mwenyekiti wa UWT mkoa…

Read More