
Jinsi mawakili wa kina Magoma, Yanga walivyochuana
Akifafanua hoja ya kwanza, wakili Rashid (wa Yanga) amedai kuwa uamuzi ambao kina Magoma wameukatia rufaa ni uamuzi mdogo ambao kwa mujibu kifungu cha 74 (2) cha Sheria ya Mashauri ya Madai (CPC), Sura 33, haukatiwi rufaa. Huku akirejea uamuzi wa kesi moja iliyowahi kuamuriwa na aliyekuwa Jaji Mkuu, Francis Nyalali, Wakili Rashid kwa kuwa…