
MINAPA kuwashirikisha wananchi mapambano ya Ujangili na utunzaji hifadhi yatimiza miaka 60
Katika kuelekea kilele Cha maadhimisho ya miaka 60 ya Hifadhi ya Taifa ya Mikumi wafanyabiashara wa soko la Green lilipo katika mji huo wamempongea uongozi wa hifadhi hiyo kwa kushiriana katika shughuli za kijamii ambapo wamefanya usafi ndani ya soko Hilo ambalo lilionekana kusahaulika kwa kipindi Cha muda mrefu huku wakiiomba Serikali kuwaboreshea soko hilo…