
Nilivyoacha kuvuta sigara baada ya miaka 21
Ukweli ni kwamba warahibu wengi wa uvutaji Sigara wanatamani kuondoka katika mtindo huo wa maisha lakini wanashindwa, sio kazi rahisi hata kidogo, ukiona mtu amefanikiwa ni jambo la kumpongeza sana. Nasema hivyo kwa sababu mimi ni mmojawapo wa watu waliopitia changamoto hiyo miaka ya nyuma, nilitamani kuacha lakini nikashindwa, hadi nikatumia na dawa mbalimbali ila…