Mousa Camara amtisha Diarra, Matampi

KIPA mpya wa Simba, Mousa Camara ameweka wazi malengo yake msimu huu na kutangaza vita dhidi ya Djigui Diarra wa Yanga na Lay Matampi kutoka Coastal Union. Camara ambaye ametua Simba msimu huu akitokea Horoya AC ya Guinea na ndiye kipa aliyedaka mchezo wa kwanza wa ligi dhidi ya Tabora United akitoka bila ya kuruhusu…

Read More

Rais Ruto apata ushindi Mahakama ya Juu

Nairobi. Mahakama ya Juu zaidi nchini Kenya imesimamisha uamuzi wa Mahakama ya Rufaa uliobatilisha Sheria ya Fedha ya Mwaka 2023. Kwa mujibu wa gazeti la Nation, katika uamuzi ambao sasa unairuhusu Serikali kuendelea kukusanya kodi kwa kutumia sheria hiyo, Mahakama hiyo ilirejelea masilahi ya umma, ikisema kusimamishwa kwa sheria hiyo kutasaidia kudumisha utulivu katika mchakato…

Read More

Waziri Mhagama akabidhi Ofisi kwa waziri Lukuvi

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Waziri wa Afya, Jenista Mhagama, ameahidi kuendelea kutoa ushirikiano kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), William Lukuvi, katika maeneo ambayo atahitaji msaada wakati wa kuratibu shughuli za serikali chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu na Naibu Waziri Mkuu. Jenista alitoa ahadi hiyo leo, Agosti…

Read More

Tanzania, Korea kujenga kituo cha utafiti wa madini

Dar es Salaam. Tanzania inatarajia kuanzisha kituo cha utafiti wa madini na maabara kubwa ya uchambuzi wa madini itakayokuwa na jukumu la kukagua ubora na kiasi cha madini yanayozalishwa na wachimbaji wakubwa, wa kati na wadogo. Ili kutekeleza mpango huo, leo Agosti 20, 2024 Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), ambacho ni msimamizi wa ndani…

Read More

USAID kuwekeza Dola milioni 8.3 kwa kampuni tisa za Tanzania

Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (USAID), kupitia serikali ya Marekani, limetangaza kuwekeza dola milioni 8.3 za Kimarekani kwa kampuni tisa za Tanzania ili kukuza biashara, kuboresha usalama wa chakula, na kuimarisha ushindani. Msaada huo pia utaiwezesha Tanzania kuongeza ushindani katika mauzo ya nje kupitia Mpango wa Ukuaji na…

Read More