IGP WAMBURA AKUTANA NA MKUU WA MKOA WA SINGIDA

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura Agosti 20,2024 amekutana na Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe. Halima Dendego wakati alipomtembelea ofisini kwake na kujadiliana masuala mbalimbali kuhusiana na hali ya usalama mkoani humo. IGP Camillus Wambura yupo mkoani Singida kwa ziara ya kikazi kwa ajili ya kuzungumza na maofisa, wakaguzi na askari…

Read More

Dk Mwinyi ataka safari za ATCL Zanzibar kukuza uchumi

Unguja/Dar. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Mwinyi amelitaka Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), kuangalia zaidi safari zitakazopitia Zanzibar ili kukuza uchumi. Kwa mujibu wa Dk Mwinyi, hatua hiyo itawezesha kuvutia watalii wanaotembelea vivutio vilivyopo Zanzibar na Tanzania kwa jumla. Rais Mwinyi ametoa kauli hiyo leo Agosti 20, 2024 alipohutubia…

Read More

DIT WAPONGEZWA KWA USIMAMIZI MZURI MRADI WA ESTRIP

Na Humphrey Shao,Michuzi Tv Menejimenti ya Taasisi ya Teknolojia Dar es salaam (DIT) imepongezwa kwa usimamizi mzuri wa ujenzi wa mradi wa ESTRIP unaondelea. Pongezi hizo zimetolea na timu kutoka IUCEA ambayo imeongozwa na Dkt Joseph Cosam alipotembelea Taasisi hiyo kukagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa Kituo cha Umahiri wa Tehama ambao umefadhiliwa na…

Read More

Kairuki: Wanawake tumieni fursa kujiletea maendeleo

Arusha. Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya Ushauri kuhusu Kujenga Kizazi Chenye Usawa Tanzania, Angellah Kairuki ametoa wito kwa wanawake kutumia fursa zinazotolewa na Serikali na wadau katika kujiletea maendeleo ya kiuchumi. Ametoa rai hiyo leo Jumatatu Agosti 20, 2024, jijini Arusha wakati wa ziara ya kamati hiyo ya kukagua jitihada zinazofanywa na wajumbe katika…

Read More