
Urusi yavishtumu vyombo vya habari vya Marekani – DW – 20.08.2024
Urusi imevishutumu vikali baadhi ya vyombo vya habari vya Magharibi kwa kuripoti kutoka eneo linalodhibitiwa na vikosi vya Ukraine tangu uvamizi wake wa kushtukiza, na kuanzisha uchunguzi wa uhalifu dhidi ya waandishi habari wa Italia kwa ripoti ya televisheni kutoka eneo hilo. Urusi yamtaka afisa wa Marekani kulaani vitendo vya waandishi habari Wizara ya mambo…