TCB yaahidi kuwezesha wakulima kuuza mazao Ulaya, Marekani

  BENKI ya Biashara ya Tanzania (TCB) imesema itaendelea kuunga mkono juhudi za serikali kwa kuhakikisha wakulima wadogo na wa kati kupata mikopo itakayowawezesha kuzalisha kwa tija mazao yao na kuyaongezea thamani yaweze kuuzwa ndani na nje ya nchi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Da es Salaam … (endelea). TCB imesema katika mkakati wake wa kupanua wigo…

Read More

Ugonjwa wa Mpox sio janga kama COVID-19 – DW – 20.08.2024

Mkurugenzi wa WHO, barani Ulaya, Hans Kluge amesema kuwa mpox sio ugonjwa mpya wa COVID na hatua za kuudhibiti zinaendelea kuchukuliwa. ”Tunajua jinsi ya kudhibiti mpox. Na barani Ulaya, tunajua hatua zinazohitajika kuzuia maambukizi yake kabisa. Miaka miwili iliyopita, tulidhibiti mpox barani Ulaya kutokana na ushirikiano wa moja kwa moja na jamii zilizoathirika zaidi za wanaume…

Read More

DP World kuokoa Sh1.6 trilioni hadi Desemba

Dar es Salaam. Imeelezwa kutokana na kuanza kazi kwa Kampuni ya DP World katika Bandari ya Dar es Salaam huenda Dola za Marekani 600 milioni (Sh1.62 trilioni) zikaokolewa katika uchumi wa Tanzania, kutokana na kuondolewa kwa tozo ya uchelewaji wa meli. Fedha hizo zitakazookolewa ni zile Dola za Marekani 1,000 zilizokuwa zikitozwa kwa kila kontena…

Read More

UBISHI WA MZEE WA KALIUWA: Awesu ni MVP mpya Msimbazi?

PENGINE bado ni mapema sana, lakini kuna wachezaji tayari wameanza kuwasha moto mwanzoni kabisa mwa msimu. Joshua Mutale bado anajitafuta. Steven Mukwala bado anajipiga piga kifuani. Debora Fernandez taratibu aanza kuonyesha ni kwanini Simba wamemchukua, lakini Awesu Awesu tayari gari limewaka. Ukitazama mechi yake ya kwanza akiwa na jezi ya Mnyama Simba unaona umaridadi wa…

Read More

Ngaiza anakimbiza kimya kimya ‘rebound’

NYOTA chipukizi wa Vijana ‘City Bulls’, Fotius Ngaiza anaendelea kuwakimbiza wakongwe wa mchezo huo katika Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam kwenye udakaji wa mipira maarufu rebound. Rebound ni mipira inayokosa kuingia katika golini na kudundia ndani ya uwanjani, ambapo mchezaji anayeiwahi mipira hiyo inapogusa ardhi kabla ya mtu mwingine kuichukua ndiye anayehesabiwa…

Read More