
Mahakama yaipa ushindi Serikali, ikiruhusu Sheria ya Fedha 2023
Nairobi. Mahakama ya Juu nchini Kenya imesitisha uamuzi wa Mahakama ya Rufaa uliobatilisha Sheria ya Fedha ya Mwaka 2023. Uamuzi huo umetajwa na Mahakama ya Juu kuwa utasaidia ufanisi wa kutimiza bajeti ya nchi hiyo kwa kuzingatia masilahi ya umma. “Kwa kuzingatia masilahi ya umma katika suala hili, tunaagiza rufaa iliyojumuishwa hapa isikilizwe ndani ya…