
CHADEMA YATOA TAMKO ILI KUHUSU WANANCHI KUONDOLEWA NGORONGORO – MWANAHARAKATI MZALENDO
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetoa taarifa ya kupinga amri ya Serikali iliyochapishwa kwenye Gazeti la Serikali namba 673 la tarehe 02 Agosti, 2024 ambayo imewaondoa wananchi wote wa Tarafa ya Ngorongoro kwenye ardhi yao kwa kufuta Kata, Vijiji na Vitongoji vyote vya Tarafa hiyo. Taarifa ya CHADEMA iliyotolewa…