Samia afungua skuli iliyojengwa na NMB kwa mil. 800

  RAIS Samia Suluhu Hassan amefungua Skuli ya Maandalizi ya Tasani – Visiwani Zanzibar ambayo Benki ya NMB imegharamia ujenzi wake na uwekaji wa samani ikiwemo viti, meza na madawati kwa gharama ya Sh 800 milioni. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar … (endelea). Skuli hiyo yenye madarasa matano na itaweza kupokea wanafunzi 200 kwa wakati mmoja….

Read More

RAIS WA ZANZIBAR DK.HUSSEIN MWINYI AZUNGUMZA NA BALOZI WA INDIA NCHINI TANZANIA MHE. BISHWADIP DEY IKULU ZANZIBAR

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Balozi wa India Nchini Tanzania Mhe.Bishwadip Dey, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 20-8-2024, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha. /RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi…

Read More

Programu ya Kitambulisho cha Marubani cha Mauritania – Masuala ya Ulimwenguni

Programu ya utambulisho wa kidijitali ya Mauritania katika hali ya majaribio. Credit: UNDP Mauritania Maoni na El Hassen Teguedi – Benjamin Bertelsen – Jonas Loetscher (nouakchott, mauritania / umoja wa mataifa) Jumanne, Agosti 20, 2024 Inter Press Service NOUAKCHOTT, Mauritania / UMOJA WA MATAIFA, Agosti 20 (IPS) – Serikali zinazidi kupitisha miundombinu ya umma ya…

Read More

Chadema yadai kushikiliwa viongozi wake, Polisi yakana

Dar es Salaam. Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kikidai kukamatwa na Jeshi la Polisi na kuendelea kushikiliwa kusikojulikana watu watatu wakiwamo viongozi wa wawili wa chama hicho wilayani Temeke kinyume cha sheria, Jeshi hilo limesema halina taarifa kuhusu madai hayo. Kwa mujibu wa Chadema viongozi hao wana siku ya tatu sasa tangu wakamatwe…

Read More

Mshukiwa wa mauaji wanawake 42 atoroka mahabusu

  RAIA wa Kenya aliyekiri kuhusika na mauaji ya wanawake 42 ambao baadhi yao miili yao ilipatikana ikiwa imetupwa kwenye dampo la Kware jijini Nairobi, ametoroka gerezani. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kamanda wa Polisi Nairobi, Adamson Bungei mshukiwa huyo Collins Jumaisi (33) pamoja na wafungwa wengine 13…

Read More

Sababu Bandari ya Mtwara kufanya vizuri

Dar es Salaam. Uwekezaji uliofanywa na Serikali umetajwa kuwa sababu ya usafirishaji mizigo kupitia Bandari ya Mtwara kuongezeka mara nane zaidi kati ya mwaka 2021 hadi mwaka 2023, Takwimu Msingi za Tanzania 2023  zinaeleza. Uwekezaji huo unatajwa kuvutia na kuwezesha meli kubwa kutia nanga kwa ajili ya kubeba mizigo hususani makaa ya mawe yanayosafirishwa zaidi kupitia…

Read More

Wakulima wa bangi 4,800 wasamehewa

  MFALME wa Morocco Mohammed wa Sita amewasamehe zaidi ya wakulima 4,800 wanaoshtumiwa kulima bangi kinyume cha sheria. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa… (endelea). Wizara ya sheria ya taifa hilo imesema jana Jumatatu Mfalme huyo ametoa msamaha kwa watu 4,831 waliopatikana na hatia, kushtakiwa au kutafutwa katika kesi zinazohusiana na kilimo cha bangi. Kwa mujibu wa…

Read More