
Tulieni, Mtibwa Sugar inarudi Ligi Kuu Bara
LICHA ya kukiri ugumu uliopo katika ligi ya Championship, kiungo wa Mtibwa Sugar, Abdul Hilary amechimba mkwara kwa kusema hakuna timu ambayo inaweza kuwafanya kuwa na presha juu ya mpango wao wa kurejea Ligi Kuu Bara msimu wa 2025-2026. Mtibwa iliyowahi kutwaa ubingwa wa Bara misimu miwili mfululizo ya 1999 na 2000 ilishuka daraja msimu…