
Anayedaiwa kuua wanawake sita akiwamo mkewe atoroka polisi
Nairobi. Mtuhumiwa wa mauaji ya wanawake sita akiwamo mke, Collins Khalusha ametoroka katika Kituo cha Polisi cha Gigiri, Nairobi Kenya. Khalusha anadaiwa kuua kisha miili hiyo kuitupa katika machimbo ya Kware, Kaunti ya Embakasi. Mtuhumiwa huyo ambaye alikiri kuhusika na mauaji hayo alikuwa miongoni mwa watuhumiwa 13 waliotoroka kituoni hapo saa tatu asubuhi leo Jumanne…