
Ngoma Arusha kupigwa mwezi ujao
TIMU za kikapu Mkoa wa Arusha zimekuwa zikisubiri kwa muda mrefu kuanza kwa ligi mkoani humo, lakini hatimaye katibu mkuu wa Chama cha Kikapu mkoa, Barick Kilimba ametangaza rasmi tarehe ya kuanza. Akizungumza na Mwanasposti, Kilimba alisema ligi hiyo inatarajiwa kuanza Septemba Mosi. Hata hivyo kiongozi huyo hakusema sababu zilizofanya ligi hiyo ishindwe kuanza mapema,…