
PSPTB YATOA MAFUNZO YA SHERIA NA KANUNI MPYA ZA UNUNUZI WA UMMA KWA OFISI YA MKEMIA MKUU WA SERIKALI
Bodi ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) inaendesha mafunzo kuhusu Sheria na Kanuni mpya za Ununuzi wa Umma kwa Menejimenti, Wajumbe wa Bodi ya Zabuni na wataalam wa kitengo cha Ununuzi na Ugavi kutoka ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali yanayofanyika kwa siku tano kuanzia Agosti 19 hadi Agosti 23, 2024. Akizungumza na Michuzi…