
RAIS WA TLS AHOJI MAMLAKA YA WAZIRIKATIKA KUFUTA VIJIJI NA VITONGOJI KATIKA ENEO LA NGORONGORO – MWANAHARAKATI MZALENDO
Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, amehoji uhalali wa hatua iliyochukuliwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), ya kufuta baadhi ya vijiji na vitongoji vilivyopo katika eneo la Ngorongoro. Mwabukusi, akizungumza asubuhi ya Jumanne, Agosti 20, 2024, jijini Dar es Salaam, alieleza…