
Upelelezi kesi ya aliyekua kocha Simba badobado
UPANDE wa mashtaka katika kesi ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroin inayomkabili aliyekuwa kocha wa makipa wa Simba, Muharami Sultan (40) na wenzake umedai kuwa bado unaendelea na upelelezi wa shauri hilo. Sultan na wenzake watano wanakabiliwa na mashtaka manane yakiwemo ya kusafirisha dawa hizo zenye uzito wa kilo 34.89 pamoja na kutakatisha…