
Tanzania, Kamanda ahamishwa baada ya kauli iliyozusha hasira – DW – 19.08.2024
Sakata la binti aliyebakwa na kulawitiwa nchini Tanzania, limechukua sura mpya baada ya Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini humo, IGP, Camilius Wambura kumuhamisha kamanda wa polisi mkoani Dodoma, RPC Theopista Mallya na nafasi yake kuchukuliwa na George Katabazi, huku jeshi hilo likitangaza kuwafikisha mahakamani watuhumiwa wa ubakaji na ulawiti wa binti anayedaiwa kuwa mkazi…