
UN: Mwaka 2023 ulikuwa ‘mgumu’ kwa watoa huduma za kibinadamu ulimwenguni
Dar es Salaam. Wakati dunia ikiadhimisha Siku ya Watoa Huduma za kibinadamu Ulimwenguni, imeelezwa mwaka 2023 ulikuwa mwaka mgumu kwa watoa huduma hizo kutokana na baadhi yao kupoteza maisha wakati wakitekeleza majukumu yao, hususan kwenye maeneo yenye vita na machafuko ya kisiasa. Akizungumza katika maadhimisho hayo yaliyofanyika leo Jumatatu Agosti 19, 2024 jijini Dar es…