
Wataka maboresho miundombinu ya kiuchumi dira ya maendeleo 2050
Musoma. Wakati Serikali ikiendelea na mchakato wa kuandaa dira ya Taifa ya Maendeleo kwa mwaka 2050, baadhi ya wakazi wa Mkoa wa Mara wameiomba izingatie uboreshaji wa miundombinu ya kiuchumi mkoani humo. Wametaja miundombinu hiyo kuwa ni pamoja na ya ujenzi wa viwanda, uboreshaji wa bandari na mazingira ya uwekezaji katika sekta mbalimbali. Wamesema hatua…