Kamanda Tanzania ahamishwa baada ya kauli iliyozusha hasira – DW – 19.08.2024

Sakata la binti aliyebakwa na kulawitiwa nchini Tanzania, limechukua sura mpya baada ya Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini humo, IGP, Camilius Wambura kumuhamisha kamanda wa polisi mkoani Dodoma, RPC Theopista Mallya na nafasi yake kuchukuliwa na George Katabazi, huku jeshi hilo likitangaza kuwafikisha mahakamani watuhumiwa wa ubakaji na ulawiti wa binti anayedaiwa kuwa mkazi…

Read More

Kiboko ya nyavu za EPL ndani ya miaka mitano hawa hapa

LIGI Kuu England imeshuhudia wafungaji mahiri sana kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita. Baadhi ya mastaa walionasa Kiatu cha Dhahabu kwa maana ya kuongoza kwa mabao kwenye ligi ni pamoja na Mohamed Salah, Harry Kane na Erling Haaland huku viungo kama Bruno Fernandes na Kevin De Bruyne wakiongoza kwenye kupika mabao hayo. Kwa miaka mitano…

Read More

MRADI UKAMILIKE KWA WAKATI: WAZIRI SILAA

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb), amesema kuwa ujenzi wa jengo jipya la ofisi za Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Zanzibar lazima ukamilike kwa wakati bila kuathiri ubora. Waziri Silaa alieleza hayo leo Agosti 19, 2024 wakati alipotembelea ofisi zilizopo Zanzibar na mradi wa ujenzi wa jengo jipya….

Read More

Watumishi watatu waadhibiwa Longido, mmoja afukuzwa kazi

Arusha. Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Longido Mkoa wa Arusha, limetoa adhabu kwa watumishi wake watatu wa halmashauri hiyo, akiwemo mmoja kufukuzwa kazi. Mtumishi mwingine ameshushwa cheo na mwingine ameadhibiwa kupunguziwa mshahara wake kwa asilimia 15 kwa kipindi cha miaka mitatu mfululizo kutokana na kuisababishia Serikali hasara ya zaidi ya Sh300 milioni….

Read More

‘Waliotumwa na afande’ wafikishwa mahakamani, wasomewa mashtaka mawili

Dodoma. Watu wanne wanaotuhumiwa ‘kutumwa na afande’ kumlawiti na kumbaka binti mkazi wa Yombo Dovya, jijini Dar es Salaam leo Jumatatu Agosti 19, 2024 wamefikishwa mahakamani na kusomewa mashtaka mawili. Watuhumiwa hao wamefikishwa katika Mahakama ya Kanda Dodoma na kusomewa mashtaka ya kubaka kwa kikundi (gang rape) na kumwingilia kinyume na maumbile binti ambaye hakutajwa…

Read More

Planet Power Kasino ya Utajiri.

KUTANA na Sloti inayotema pesa kama mashine za ATM, Planet Power Kasino kutoka Meridianbet Kasino ya Mtandaoni, kila ukicheza UNASHINDA Mamilioni. Jisajili hapa ubadili maisha yako. Ukiacha michezo mingine bora inayotolewa na Expanse Studio, unayoweza kuipata kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, Expanse wamekuletea mzigo mwingine wa kutengeneza mkwanja kiganjani mwako. Mchezo huu kutoka Expanse…

Read More

Gharama za matibabu kikwazo wananchi kufuata huduma za kibingwa

Moshi. Gharama kubwa za matibabu zimetajwa kuwa moja ya changamoto inayowafanya  wananchi wengi hususani wa maeneo ya vijijini, kushindwa  kufuata huduma za matibabu za kibingwa. Hayo yamebainishwa leo Jumatatu Agosti 19, 2024 wakati wa kambi ya uchunguzi wa magonjwa mbalimbali iliyotolewa bure na madaktari kutoka  Hospitali ya kanda ya Kaskazini KCMC, Mawenzi  na TPC, katika…

Read More