
Mpox yasambaa kwa kasi DR Congo – DW – 19.08.2024
Kati ya visa vilivyorekodiwa na kutibiwa, asilimia 75 ni watoto wenye umri wa miaka 0 hadi 15, na wengi wa wagonjwa wanatoka katika kambi za wakimbizi zinazowahifadhi wahanga wa vita. Huku Kongo ikiwa na zaidi ya asilimia 96 ya kesi za Monkeypox zilizoripotiwa duniani mwaka huu, nchi hiyo pia inakabiliwa na janga kubwa la kiafya,…