
KAPINGA; AZINDUA KITUO CHA MAUZO YA MAKAA YA MAWE MBINGA"
NAIBU waziri wa nishati Mh Judith Kapinga amezindua kituo cah mauzo ya makaa ya mawe kinachoendeshwa na kampuni ya Market insight limited MILCOAL kilichopo katika kijiji cha Paradiso kata ya Ruanda wilaya ya mbinga mkoa wa Ruvuma. Akizungumza katika uzinduzi huo Mh Judith Kapinga ambaye ndie mgeni rasmi ameipongeza kampuni ya MILCOAL kwa kuchagua wilaya…