
WAZIRI CHANA AWASILI OFISINI, AWATAKA WATUMISHI KUTEKELEZA 4R ZA RAIS SAMIA KWA VITENDO
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Hazara Chana (Mb) amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kumuamini na kumteua kusimamia kwa mara nyingine Wizara ya Maliasili na Utalii. Ameyasema hayo leo Agosti 19,2024 aliporipoti katika ofisi za Wizara ya Maliasili na Utalii, Mtumba jijini Dodoma….