
PBZ YAONGEZA FAIDA KWA ASILIMIA 18 KATIKA NUSU YA MWAKA 2024
Na Mwandishi Wetu Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ Bank) imetangaza ripoti yake ya kifedha ya nusu ya kwanza ya mwaka 2024, inayoonesha mafanikio makubwa katika nyanja mbalimbali ikiwemo ongezeko la faida ya jumla (net income) baada ya kodi kwa asilimia 18, Ikiashiria maendeleo mazuri ya benki hiyo, ripoti hiyo imeonyesha ongezeko la mapato hadi…