
ZAIDI YA NCHI 160 KUUKUBALI MFUMO WA MALIPO WA “BRICS PAY” – MWANAHARAKATI MZALENDO
#KIMATAIFA Mataifa yanayounda ushirika wa BRICS- Brazil, Russia, India, China, na Afrika Kusini, yanazindua mfumo mpya wa malipo wa kidijitali unaojulikana kama BRICS Pay. Mfumo huu unalenga kuwezesha miamala katika sarafu za nchi, kupunguza utegemezi wa dola ya Marekani na mifumo ya jadi ya kifedha kama vile SWIFT. Katika hatua ambayo inaweza kuleta sura mpya…