
Michezo ya Majeshi Tanzania (BAMMATA) kufanyika Morogoro
Baraza la Michezo ya Majeshi hapa nchini (BAMMATA) limetangaza michezo hiyo kuanza kutimua vumbi Mkoani Morogoro kuanzia Septemba 6 hadi 15 mwaka huu ambapo mashindano ya michezo mbalimbali inatarajiwa kufanyika huku zaidi ya wanamichezo 1300 kutoka Kanda 8 za michezo hiyo hapa nchini wakibainisha kushiriki. Hayo yamebainishwa Mwenyekiti wa BAMMATA Brigedia Jenerali Said Hamis Said…