
Tanzania Prisons yageukia straika haraka
ACHANA na matokeo ya pointi moja waliyovuna ugenini dhidi ya Pamba Jiji, benchi la Tanzania Prisons limesema linahitaji kuongeza makali eneo la ushambuliaji kabla ya higi haijachanganya. Prisons ilianzia ugenini kukipiga na Pamba Jiji katika mchezo wa Ligi Kuu, ambapo mechi hiyo iliyopigwa kwenye Uwanja wa CCM Kirumba Mwanza, iliisha kwa suluhu ya bila kufungana….