
Gamondi acharuka!… Amtaja Chama | Mwanaspoti
YANGA imeshinda mabao 4-0 dhidi ya Vital’O ya Burundi katika mechi ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika, lakini kitu cha kushangaza ni kocha mkuu, Miguel Gamondi amewaka kutokana mastaa wa timu hiyo kukosa umakini katika kutumia nafasi, akisema wenyeji wa mechi hiyo walistahili kupigwa bao nyingi. Yanga ilipata ushindi huyo kwenye Uwanja wa Azam…