
Osha yatahadharisha kuibuka magonjwa ya misuli, mgongo, ajali kazini zikipungua
Dar es Salaam. Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (Osha), umesema hivi sasa matukio ya ajali kazini yamepungua na badala yake yameibuka magonjwa kazi mahala pa kazi. Umeyata magonjwa hayo kuwa ni ya misuli, viuno, shingo na mgongo kutokana na wafanyakazi kutumia vifaa visivyo sahihi na mtindo wa maisha kazini. Akizungumza na wanachama…